Zifuatazo ni Muhtasari wa huduma zetu.
Pamoja na wigo huu mkubwa wa huduma, tunakusudia na kudhamiria kukuza ushiriki wa Kila raia nchini Tanzania na Kuendesha Jukwaa la habari na Majadiliano ambayo huleta watu pamoja na kushirikiana katika maendeleo ya jamii. Tunakuhamasisha uwe uungane na kushiriki nasi.
Kazi zetu:
– Uwasilishajina utoaji Semina Nchini Ujerumani katika mambo yanayohusu kazi Zetu za CCSN, Utamaduni wa Wawatanzania na Maendeleo yake kwa ujumla.
– Uwasilishajina utoaji semina nchini Tanzania katika maswala yanayohusu kazi zetu za CCSN, kama ajira kwa vijana, Masuala ya uzazi, maisha ya mitaani, na mafunzo katika mada zinazohusiana na maswala ya vijana na maendeleo.
– Webinar na mada mbalmbalii zinazohusiana na kazi zetu
– Semina katika Shule za Tanzania na taasisi za elimu zinazolenga kutoa mafunzo katika kazi, Namna ya Kushinda shida binafsi na za kitaaluma, na namna ya muingiliano katika soko la ajira.
– Kuunganisha mitandao ya ndani inayohusisha wadau mbali mbali ili kuwaongoza vijana katika fursa za kazi, kupunguza maisha ya mitaani na kusaidia wazazi katika changamoto zao za malezi.
– Kutoa Jukwaa la habari lenye mada tofauti zinazohusiana na kazi zete
– Jukwaa la Mtandaoni.
– Ushauri juu ya maswala ya kazi kwa wahitimu Mbalimbali (Pia inawezekana kufanyinka kwanjia ya barua-pepe au skype).
-Ushauri juu ya ukosefu wa ajira
– Mwongozo na ushari juu ya elimu.