Mwanzo

Karibu CCSN – Kituo cha Nasaha kwa Ajili ya Ustawi wa Jamii!

Read in English

 

Kituo chetu cha ushauri kimejikita katika kusaidia vijana katika kujikomboa kiuchumi na kutimiza ndoto zao za elimu, kazi au ajira.

Je, unahitaji msaada katika kuanzisha au kupanua biashara yako? Je, una mtaji mdogo na unahitaji muongozo katika uendeshaji wa biashara mpya? Je, unahitaji msaada katika kupata kazi inayokufaa ili kukidhi mahitaji yako ya maisha? Au je, unahitaji muongozo katika kujiendeleza kielimu na kutimiza malengo yako ya maisha? – Basi wasiliana nasi kwa kujaza fomu hii hapa chini.

Fomu ya Mawasiliano

 

Taarifa zaidi kuhusiana na huduma zetu utazipata kwenye kipeperushi chetu kwa kubonyeza kitufe kifuatacho

Services and Prices

 

Kwa maswali zaidi kuhusiana na huduma zetu, wasiliana nasi kupitia fomu yetu ya mawasiliano au baruapepe info@societalnurturing.com